Isaiah 39:1

Wajumbe Kutoka Babeli

(2 Wafalme 20:12-19)

1 aWakati huo Merodaki-Baladani, mwana wa Baladani mfalme wa Babeli, akamtumia Hezekia barua na zawadi, kwa sababu alikuwa amesikia habari za kuugua na kupona kwake.
Copyright information for SwhKC